Isaiah 25:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atayabomoa maboma ya miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuyabwaga chini mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atabomoa kuta ndefu za ngome yako na kuziangusha chini, atazishusha chini ardhini, hadi mavumbini kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na boma la ngome ya kuta zako ameliinamisha, na kulilaza chini, na kulitupa chini hata mavumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atayabomoa maboma ya miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuyabwaga chini mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atabomoa kuta ndefu za maboma yako na kuziangusha chini, atazishusha chini ardhini, mpaka mavumbini kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atabomoa kuta ndefu za maboma yako na kuziangusha chini, atazishusha chini ardhini, mpaka mavumbini kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na boma la ngome ya kuta zako ameliinamisha, na kulilaza chini, na kulitupa chini hadi mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atayabomoa maboma ya miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuyabwaga chini mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata maboma yenu yenye kuta ndefu atayanyenyekeza, akiyainamisha na kuyaangusha chini uvumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na boma la ngome ya kuta zako ameliinamisha, na kulilaza chini, na kulitupa chini hata mavumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atabomoa pango za miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuiangusha chini ndani ya mavumbi.