Isaiah 25:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeufanya mji ule kuwa rundo la mawe, mji wenye ngome kuwa uharibifu. Majumba ya watu wageni yametoweka, wala hayatajengwa tena upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeufanya mji kuwa lundo la kifusi, mji wenye ngome kuwa magofu, ngome imara ya wageni kuwa si mji tena, wala hautajengwa tena kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu umefanya mji kuwa ni chungu; Mji wenye boma kuwa ni magofu; Jumba la wageni kuwa si mji; Hautajengwa tena milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeufanya mji ule kuwa rundo la mawe, mji wenye ngome kuwa uharibifu. Majumba ya watu wageni yametoweka, wala hayatajengwa tena upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeufanya mji kuwa lundo la kifusi, mji wenye ngome kuwa magofu, ngome imara ya wageni kuwa si mji tena, wala hautajengwa tena kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeufanya mji kuwa lundo la kifusi, mji wenye ngome kuwa magofu, ngome imara ya wageni kuwa si mji tena, wala hautajengwa tena kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu umefanya mji kuwa ni rundo; Mji wenye boma kuwa ni magofu; Jumba la wageni kuwa si mji; Hautajengwa tena milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeufanya mji ule kuwa rundo la mawe, mji wenye ngome kuwa uharibifu. Majumba ya watu wageni yametoweka, wala hayatajengwa tena upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mji umeugeuza kuwa chungu la mawe, mji wenye boma ukawa mabomoko, majumba ya wageni hayafikiwi tena, kwani mji hautajengwa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu umefanya mji kuwa ni chungu; Mji wenye boma kuwa ni magofu; Jumba la wageni kuwa si mji; Hautajengwa tena milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeufanya muji kuwa lundo la mawe, muji wenye pango kuwa uharibifu. Nyumba za watu wageni zimetoweka, wala hazitajengwa tena upya.