Isaiah 25:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo watu wenye nguvu watakutukuza, miji ya mataifa katili itakuogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo mataifa yenye nguvu yatakuheshimu, miji ya mataifa katili itakuogopa wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo watu walio hodari watakutukuza, Mji wa mataifa watishao utakuogopa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo watu wenye nguvu watakutukuza, miji ya mataifa katili itakuogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo mataifa yenye nguvu yatakuheshimu, miji ya mataifa katili itakuheshimu wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo mataifa yenye nguvu yatakuheshimu, miji ya mataifa katili itakuheshimu wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo watu walio hodari watakutukuza, Miji ya mataifa yatishayo itakuogopa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo watu wenye nguvu watakutukuza, miji ya mataifa katili itakuogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo watu wenye nguvu wanakutukuza, nayo miji ya watu wa kimizimu waliokuwa wenye ukorofi inakuogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo watu walio hodari watakutukuza, Mji wa mataifa watishao utakuogopa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo watu wenye nguvu watakutukuza, miji ya mataifa kali itakuogopa.