Isaiah 25:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ni kama joto la jua juu ya nchi kavu. Lakini wewe wakomesha fujo ya wageni. Kama wingu lizimavyo joto la jua ndivyo ukomeshavyo nyumba za ushindi za wakatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kama joto la jangwani. Wewe wanyamazisha kelele ya wageni; kama vile hari ipunguzwavyo na kivuli cha wingu, ndivyo wimbo wa wakatili unyamazishwavyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile hari katika mahali pakavu Utaushusha mshindo wa wageni; Kama ilivyo hari kwa kivuli cha wingu, Wimbo wa hao watishao utashushwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ni kama joto la jua juu ya nchi kavu. Lakini wewe wakomesha fujo ya wageni. Kama wingu lizimavyo joto la jua ndivyo ukomeshavyo nyumba za ushindi za wakatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kama joto la jangwani. Wewe wanyamazisha makelele ya wageni, kama vile hari ipunguzwavyo na kivuli cha wingu, ndivyo wimbo wa wakatili unyamazishwavyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kama joto la jangwani. Wewe wanyamazisha makelele ya wageni; kama vile hari ipunguzwavyo na kivuli cha wingu, ndivyo wimbo wa wakatili unyamazishwavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile joto katika mahali pakavu Utaushusha mshindo wa wageni; Kama ilivyo joto kwa kivuli cha wingu, Wimbo wa hao watishao utashushwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ni kama joto la jua juu ya nchi kavu. Lakini wewe wakomesha fujo ya wageni. Kama wingu lizimavyo joto la jua ndivyo ukomeshavyo nyumba za ushindi za wakatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au kama jua kali jangwani. Makelele ya wageni ukayanyamazisha; kama jua kali linavyoshindwa na kivuli cha wingu, ndivyo, shangwe za wakorofi zilivyonyenyekezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile hari katika mahali pakavu Utaushusha mshindo wa wageni; Kama ilivyo hari kwa kivuli cha wingu, Wimbo wa hao watishao utashushwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ni kama joto la jua juu ya inchi kavu. Lakini wewe unakomesha fujo ya wageni. Kama wingu linavyofifisha joto la jua, ndivyo unavyokomesha nyimbo za ushindi za watu wakali.