Isaiah 25:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mlima huuhuu, Mwenyezi-Mungu ataliondoa wingu la huzuni lililowafunika watu wote, kifuniko cha uchungu juu ya mataifa yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya mlima huu ataharibu sitara ihifadhiyo mataifa yote, kile kifuniko kifunikacho mataifa yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye katika mlima huu atauharibu uso wa sitara iliyowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mlima huuhuu, Mwenyezi-Mungu ataliondoa wingu la huzuni lililowafunika watu wote, kifuniko cha uchungu juu ya mataifa yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya mlima huu ataharibu sitara ile ihifadhiyo mataifa yote, kile kifuniko kifunikacho mataifa yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya mlima huu ataharibu sitara ihifadhiyo mataifa yote, kile kifuniko kifunikacho mataifa yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye katika mlima huu atauharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mlima huuhuu, Mwenyezi-Mungu ataliondoa wingu la huzuni lililowafunika watu wote, kifuniko cha uchungu juu ya mataifa yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlimani huku atayatowesha mabuibui ya nyuso, ni mabuibui yaliyoyafunika makabila yote ya watu, hata mafuniko, yaliyotandwa juu ya wamizimu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye katika mlima huu atauharibu uso wa sitara iliyowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mulima huuhuu, Yawe ataliondoa wingu la huzuni lililowafunika watu wote, kifuniko cha uchungu juu ya mataifa yote.