Isaiah 25:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ile, watu wote watasema, “Huyu ndiye Mungu wetu! Tumemngojea atuokoe. Huyu ndiye Mwenyezi-Mungu tuliyemtazamia. Njoni tufurahi na kushangilia kwa kuwa ametuokoa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile watasema, “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; tulimtumaini, naye akatuokoa. Huyu ndiye Mwenyezi Mungu, tuliyemtumaini; sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ile, watu wote watasema, “Huyu ndiye Mungu wetu! Tumemngojea atuokoe. Huyu ndiye Mwenyezi-Mungu tuliyemtazamia. Njoni tufurahi na kushangilia kwa kuwa ametuokoa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile watasema, “Hakika huyu ndiye Mungu wetu, tuliyemtumaini naye akatuokoa. Huyu ndiye BWANA, tuliyemtumaini; sisi na tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile watasema, “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; tulimtumaini, naye akatuokoa. Huyu ndiye bwana, tuliyemtumaini; sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ile, watu wote watasema, “Huyu ndiye Mungu wetu! Tumemngojea atuokoe. Huyu ndiye Mwenyezi-Mungu tuliyemtazamia. Njoni tufurahi na kushangilia kwa kuwa ametuokoa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile watasema: Mtazameni huyu! Ndiye Mungu wetu, tuliyemngojea, atuokoe; huyu ndiye Bwana, tuliyemngojea. Na tushangilie! Na tuufurahie wokovu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile, watu wote watasema: Huyu ndiye Mungu wetu! Tumemungojea atuokoe. Huyu ndiye Yawe tuliyemutazamia. Mukuje tufurahi na kushangilia kwa sababu ametuokoa.