Isaiah 26:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, umetupatia amani; umefanikisha shughuli zetu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, unaamuru amani kwa ajili yetu, yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, utatuamuria amani; maana ni wewe pia uliyetutendea kazi zetu zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, umetupatia amani; umefanikisha shughuli zetu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA, unaamuru amani kwa ajili yetu, yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana, unaamuru amani kwa ajili yetu, yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, utatuamuria amani; maana ni wewe pia uliyetutendea kazi zetu zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, umetupatia amani; umefanikisha shughuli zetu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila sisi, Bwana, utatupa kutengemana, kwani yote, tuliyoyafanya sisi, ni kazi zako, ulizotutendea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, utatuamuria amani; maana ni wewe pia uliyetutendea kazi zetu zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ee Yawe, umetupatia amani; umefanikisha shuguli zetu zote.