Isaiah 26:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umelikuza taifa letu, ee Mwenyezi-Mungu, naam, umelizidisha taifa letu. Umeipanua mipaka yote ya nchi, kwa hiyo wewe watukuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeliongeza hilo taifa, Ee Mwenyezi Mungu, umeliongeza hilo taifa. Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, umepanua mipaka yote ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeliongeza hilo taifa, Bwana, umeliongeza taifa; wewe umetukuzwa, umeipanua mipaka yote ya nchi hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umelikuza taifa letu, ee Mwenyezi-Mungu, naam, umelizidisha taifa letu. Umeipanua mipaka yote ya nchi, kwa hiyo wewe watukuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeliongeza hilo taifa, Ee BWANA, umeliongeza hilo taifa. Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, umepanua mipaka yote ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeliongeza hilo taifa, Ee bwana, umeliongeza hilo taifa. Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, umepanua mipaka yote ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeliongeza hilo taifa, BWANA, umeliongeza taifa; wewe umetukuzwa, umeipanua mipaka yote ya nchi hii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umelikuza taifa letu, ee Mwenyezi-Mungu, naam, umelizidisha taifa letu. Umeipanua mipaka yote ya nchi, kwa hiyo wewe watukuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kabila hili umeliongeza, Bwana, umeliongeza kweli, ukalitukuza, ukaipanua mipaka yote ya nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeliongeza hilo taifa, BWANA, umeliongeza taifa; wewe umetukuzwa, umeipanua mipaka yote ya nchi hii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umezidisha taifa letu, ee Yawe, umelizidisha taifa letu. Umeipanua mipaka yote ya inchi, kwa hiyo wewe unatukuzwa.