Isaiah 26:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, walipotaabika walikutafuta, walikuomba msaada ulipowaadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, walikujia katika taabu yao, wewe ulipowarudi, waliweza kuomba kwa kunong’ona tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu yako ilipokuwa juu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, walipotaabika walikutafuta, walikuomba msaada ulipowaadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA, walikujia katika taabu yao, wewe ulipowarudi, waliweza kuomba kwa kunong'ona kwa shida sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana, walikujia katika taabu yao, wewe ulipowarudi, waliweza kuomba kwa kunong’ona tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu yako ilipokuwa juu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, walipotaabika walikutafuta, walikuomba msaada ulipowaadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wanaposongeka wanakutokea; ulipowapiga, ndipo, walipokuja kukunong'onezea maneno yao ya kukuomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu yako ilipokuwa juu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, walipotaabika walikutafuta, walikuomba musaada ulipowaazibu.