Isaiah 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fungueni malango ya mji, taifa aminifu liingie; taifa litendalo mambo ya haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, taifa lidumishalo imani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wekeni wazi malango yake, Taifa lenye haki, lishikalo kweli, liingie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fungueni malango ya mji, taifa aminifu liingie; taifa litendalo mambo ya haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, taifa lile lishikalo imani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, taifa lile lidumishalo imani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fungueni malango yake, Taifa lenye haki, lishikalo kweli, liingie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fungueni malango ya mji, taifa aminifu liingie; taifa litendalo mambo ya haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafungueni malango, watu waongofu waingie, washikao welekevu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wekeni wazi malango yake, Taifa lenye haki, lishikalo kweli, liingie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufungue milango ya muji, taifa aminifu liingie; taifa linalotenda mambo ya haki.