Isaiah 26:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumaini Mwenyezi Mungu milele, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, ni Mwamba wa milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtumainini Bwana siku zote Maana Bwana YEHOVA ni mwamba wa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumaini BWANA milele, kwa kuwa BWANA, BWANA, ni Mwamba wa milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumaini bwana milele, kwa kuwa bwana, bwana, ni Mwamba wa milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtegemeeni Bwana kale na kale! Kwani mnapokuwa naye Bwana Mungu, mnao mwamba wa siku zote za kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumainie Yawe siku zote kwa maana yeye ni kikingio chetu kwa milele.