Isaiah 26:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amewaporomosha waliokaa pande za juu, mji maarufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwashusha wale wajikwezao, huushusha chini mji wenye kiburi, huushusha hadi ardhini na kuutupa chini mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hata nchi, auleta hata mavumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amewaporomosha waliokaa pande za juu, mji maarufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwashusha wale wajikwezao, huushusha chini mji wenye kiburi, huushusha hadi ardhini na kuutupa chini mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwashusha wale wajikwezao, huushusha chini mji wenye kiburi, huushusha hadi ardhini na kuutupa chini mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hadi chini, auleta hadi mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amewaporomosha waliokaa pande za juu, mji maarufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani amewanyenyekeza waliokaa juu mjini mwenye boma, akawainamisha chini kabisa, mpaka akawaangusha uvumbini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hata nchi, auleta hata mavumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amewaporomosha waliokaa pande za juu, muji wenye utukufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka katika mavumbi.