Isaiah 26:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa mji huo unakanyagwakanyagwa kwa miguu ya watu maskini na fukara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miguu huukanyagia chini: miguu ya hao waliodhulumiwa, hatua za hao maskini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mguu utaukanyaga chini, Naam, miguu yao walio maskini, Na hatua zao walio wahitaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa mji huo unakanyagwakanyagwa kwa miguu ya watu maskini na fukara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miguu hukanyaga chini, miguu ya hao walioonewa, hatua za hao maskini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miguu huukanyaga chini, miguu ya hao walioonewa, hatua za hao maskini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mguu utaukanyaga chini, Naam, miguu yao walio maskini, Na hatua zao walio wahitaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa mji huo unakanyagwakanyagwa kwa miguu ya watu maskini na fukara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakanyagwe na miguu, ndiyo miguu yao wakiwa na mateke yao wanyonge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mguu utaukanyaga chini, Naam, miguu yao walio maskini, Na hatua zao walio wahitaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa muji huo unakanyagwakanyagwa kwa miguu ya watu wamasikini na wazaifu.