Isaiah 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njia ya watu wanyofu ni rahisi; ewe Mungu mwadilifu, wasawazisha njia yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapito ya wenye haki ni nyoofu. Ewe uliye Mwenye Haki, waisawazisha njia ya mtu mnyofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia yake mwenye haki ni unyofu; Wewe uliye mnyofu wainyosha njia ya mwenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njia ya watu wanyofu ni rahisi; ewe Mungu mwadilifu, wasawazisha njia yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapito ya wenye haki yamenyooka, Ewe uliye mwenye haki, waisawazisha njia ya mtu mnyofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapito ya wenye haki yamenyooka. Ewe uliye Mwenye Haki, waisawazisha njia ya mtu mnyofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia yake mwenye haki ni unyofu; Wewe uliye mnyofu wainyosha njia ya mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njia ya watu wanyofu ni rahisi; ewe Mungu mwadilifu, wasawazisha njia yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia ya mwongofu hunyoka, napo pa kupitia, unapomlinganyia mwongofu, huwa pamenyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia yake mwenye haki ni unyofu; Wewe uliye mnyofu wainyosha njia ya mwenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia ya watu wa haki ni yenye kunyooka; ewe Mungu mwenye haki, unasawanisha njia yao.