Isaiah 26:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Mwenyezi-Mungu; kulikumbuka jina lako ndiyo tamaa yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, Mwenyezi Mungu, tukienenda katika sheria zako, twakungojea wewe, jina lako na sifa zako ndizo shauku za mioyo yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee Bwana; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Mwenyezi-Mungu; kulikumbuka jina lako ndiyo tamaa yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, BWANA tukienenda katika sheria zako, twakungojea wewe, kulikumbuka jina lako na sifa zako ndiyo shauku ya mioyo yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, bwana, tukienenda katika sheria zako, twakungojea wewe, jina lako na sifa zako ndizo shauku za mioyo yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Mwenyezi-Mungu; kulikumbuka jina lako ndiyo tamaa yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli penye maamuzi yako, Bwana, tulikungojea, roho zetu zikalitunukia Jina lako, likumbukwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Yawe; tamaa yetu ni kulikumbuka jina lako.