Isaiah 27:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji ule wa ngome sasa umekuwa mtupu, umeachwa na kuhamwa kama jangwa, humo ndama wanalisha na kupumzika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mji wenye ngome umebaki ukiwa, makazi yaliyotelekezwa, yaliyoachwa kama jangwa. Huko ndama hulisha, huko hujilaza, wanakwanyua matawi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mji ulio na boma umekuwa peke yake, makao yaliyoachwa na ukiwa kama jangwa; huko ndiko atakakolisha ndama, na huko ndiko atakakolala, na kuyala matawi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji ule wa ngome sasa umekuwa mtupu, umeachwa na kuhamwa kama jangwa, humo ndama wanalisha na kupumzika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mji ulio na boma umebaki ukiwa, makao yaliyotelekezwa yameachwa kama jangwa, huko ndama hulisha, huko hujilaza, wanakwanyua matawi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mji ulio na boma umebaki ukiwa, makao yaliyotelekezwa, yaliyoachwa kama jangwa. Huko ndama hulisha, huko hujilaza, wanakwanyua matawi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mji ulio na boma umekuwa peke yake, makao yaliyoachwa na ukiwa kama jangwa; huko ndiko atakakolisha ndama, na huko ndiko atakakolala, na kuyala matawi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji ule wa ngome sasa umekuwa mtupu, umeachwa na kuhamwa kama jangwa, humo ndama wanalisha na kupumzika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mji uliokuwa wenye nguvu peke yake tu, ni mahame tu pasipo watu; yalipoachwa, pakawa nyika: ng'ombe wanalisha huko, wanapumzika huko na kuvimaliza vijiti vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mji ulio na boma umekuwa peke yake, makao yaliyoachwa na ukiwa kama jangwa; huko ndiko atakakolisha ndama, na huko ndiko atakakolala, na kuyala matawi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji ule wenye kuta sasa umekuwa mutupu, umeachwa na kuhamwa kama jangwa, humo ngombe wanakula na kupumzika.