Isaiah 27:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Itakuja siku wazawa wa Yakobo watashika mizizi; naam, watu wa Israeli watachanua na kuchipua, na kuijaza dunia yote kwa matunda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zijazo Yakobo atatia mizizi; Israeli atatoa maua na kuchipuka; Nao watajaza uso wa ulimwengu matunda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Itakuja siku wazawa wa Yakobo watashika mizizi; naam, watu wa Israeli watachanua na kuchipua, na kuijaza dunia yote kwa matunda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku zijazo Yakobo atatia mizizi, Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zijazo Yakobo atatia mizizi; Israeli atatoa maua na kuchipuka; Nao watajaza uso wa ulimwengu matunda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Itakuja siku wazawa wa Yakobo watashika mizizi; naam, watu wa Israeli watachanua na kuchipua, na kuijaza dunia yote kwa matunda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zitakazokuja Yakobo atatia mizizi, Isiraeli atachanua na kuzaa matunda, waueneze ulimwengu wote hayo matunda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zijazo Yakobo atatia mizizi; Israeli atatoa maua na kuchipuka; Nao watajaza uso wa ulimwengu matunda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Itakuja siku wazao wa Yakobo watatoa mizizi; watu wa Israeli watachanua na kuchipuka, na kuijaza dunia yote kwa matunda.