Isaiah 27:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hakuwaadhibu Waisraeli vikali kama alivyowaadhibu maadui wake; Waisraeli waliopotea vitani, ni wachache kuliko wale wa maadui zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Mwenyezi Mungu amempiga vile alivyowapiga wale waliompiga? Je, yeye ameuawa vile walivyouawa wale waliomuua yeye?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Amempiga kama hilo pigo la hao waliompiga, au ameuawa kama walivyouawa wao waliouawa na yeye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hakuwaadhibu Waisraeli vikali kama alivyowaadhibu maadui wake; Waisraeli waliopotea vitani, ni wachache kuliko wale wa maadui zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, BWANA amempiga kama alivyowapiga wale waliompiga? Je, yeye ameuawa kama wale waliouawa ambao walimwua yeye?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, bwana amempiga vile alivyowapiga wale waliompiga? Je, yeye ameuawa vile walivyouawa wale waliomuua yeye?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Amempiga kama hilo pigo la hao waliompiga, au ameuawa kama walivyouawa wao waliouawa na yeye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hakuwaadhibu Waisraeli vikali kama alivyowaadhibu maadui wake; Waisraeli waliopotea vitani, ni wachache kuliko wale wa maadui zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Amewapiga, kama alivyowapiga waliowapiga? Au wameuawa, kama walivyouawa waliowaua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Amempiga kama hilo pigo la hao waliompiga, au ameuawa kama walivyouawa wao waliouawa na yeye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hakuwaazibu Waisraeli vikali kama alivyowaazibu waadui zao; Waisraeli waliouawa ni wachache kuliko wale waliokuwa wanawaua.