Isaiah 27:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaadhibu watu wake kwa kuwapeleka uhamishoni. Wakati wa upepo mkali wa mashariki, aliwaondoa kwa kipigo kikali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: kwa mshindo wake mkali anamfukuza, kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemwadhibu kwa kiasi, ulipomfukuza; ukampepeta kwa upepo mkali katika siku ya upepo wa mashariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaadhibu watu wake kwa kuwapeleka uhamishoni. Wakati wa upepo mkali wa mashariki, aliwaondoa kwa kipigo kikali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye, kwa mshindo wake mkali anamfukuza, kama siku uvumapo upepo wa mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: kwa mshindo wake mkali anamfukuza, kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemwadhibu kwa kiasi, ulipomfukuza; ukampepeta kwa upepo mkali katika siku ya upepo wa mashariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaadhibu watu wake kwa kuwapeleka uhamishoni. Wakati wa upepo mkali wa mashariki, aliwaondoa kwa kipigo kikali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amewagombeza tu na kuwafukuza na kuwatuma, wajiendee, akawakimbiza kwa upepo mgumu siku za kimbunga kilichotoka maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemwadhibu kwa kiasi, ulipomfukuza; ukampepeta kwa upepo mkali katika siku ya upepo wa mashariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaazibu watu wake kwa kuwapeleka katika uhamisho. Wakati wa upepo mukali wa mashariki, aliwaondoa kwa pigo kali.