Isaiah 28:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, lisikieni neno la Bwana, enyi watu wenye dharau, mnaowatawala watu hawa walio ndani ya Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo sikieni neno la BWANA, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo sikieni neno la bwana, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, lisikieni neno la BWANA, enyi watu wenye dharau, mnaowatawala watu hawa walio ndani ya Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo lisikieni neno la Bwana, ninyi waume mfyozao, nanyi mnaowatawala wa Yerusalemu walio wa ukoo huu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, lisikieni neno la BWANA, enyi watu wenye dharau, mnaowatawala watu hawa walio ndani ya Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, musikilize neno la Yawe, enyi wenye mazarau munaotawala watu wa Yerusalema: