Isaiah 28:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mkataba wenu na kifo utabatilishwa, na mapatano yenu na Kuzimu yatafutwa. Janga lile kuu litakapokuja litawaangusheni chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Agano lenu na kifo litabatilishwa, patano lenu na Kuzimu halitasimama. Pigo linalofurika litakapowakumba, litawaangusha chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na agano lenu mliloagana na mauti litabatilika, tena mapatano yenu mliyopatana na kuzimu hayatasimama; pigo lifurikalo litakapopita, ndipo ninyi mtakapokanyagwa nalo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mkataba wenu na kifo utabatilishwa, na mapatano yenu na Kuzimu yatafutwa. Janga lile kuu litakapokuja litawaangusheni chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Agano lenu na kifo litabatilishwa, patano lenu na kuzimu halitasimama. Wakati pigo lifurikalo litakapowakumba, litawaangusha chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Agano lenu na kifo litabatilishwa, patano lenu na kuzimu halitasimama. Wakati pigo lifurikalo litakapowakumba, litawaangusha chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na agano lenu mliloagana na mauti litabatilika, tena mapatano yenu mliyopatana na kuzimu hayatasimama; pigo lifurikalo litakapopita, ndipo ninyi mtakapokanyagwa nalo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mkataba wenu na kifo utabatilishwa, na mapatano yenu na Kuzimu yatafutwa. Janga lile kuu litakapokuja litawaangusheni chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mliyoyaagana na kufa yatatanguliwa, yasisimamike mliyoyapatana na kuzimu; pigo la kudidimiza litakapotukia, ndipo, watakapopokonywa nalo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na agano lenu mliloagana na mauti litabatilika, tena mapatano yenu mliyopatana na kuzimu hayatasimama; pigo lifurikalo litakapopita, ndipo ninyi mtakapokanyagwa nalo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu agano lenu na kifo litavunjika, na mapatano yenu na kuzimu yatafutwa. Ile hasara kubwa itakapokuja itawaangusha chini.