Isaiah 28:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwenu itakuwa kama ajinyoshaye juu ya kitanda kifupi mno, au kujifunika kwa blanketi lililo dogo mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitanda ni kifupi mno kujinyoosha juu yake, nguo ya kujifunikia ni nyembamba mno mtu hawezi kujifunikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kitanda kile ni kifupi asiweze mtu kujinyosha juu yake, na nguo ile ya kujifunika ni nyembamba asipate mtu kujizingisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwenu itakuwa kama ajinyoshaye juu ya kitanda kifupi mno, au kujifunika kwa blanketi lililo dogo mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitanda ni kifupi mno kujinyosha juu yake, nguo ya kujifunikia ni nyembamba mno mtu asiweze kujifunikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitanda ni kifupi mno kujinyoosha juu yake, nguo ya kujifunikia ni nyembamba mno mtu hawezi kujifunikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kitanda kile ni kifupi asiweze mtu kujinyosha juu yake, na nguo ile ya kujifunika ni nyembamba mtu asipate kujizungushia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwenu itakuwa kama ajinyoshaye juu ya kitanda kifupi mno, au kujifunika kwa blanketi lililo dogo mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani: Kitanda kifupi, hutaweza kujinyosha; nalo: Blanketi dogo, hutaweza kujifunika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kitanda kile ni kifupi asiweze mtu kujinyosha juu yake, na nguo ile ya kujifunika ni nyembamba asipate mtu kujizingisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenu itakuwa kama anayejinyoosha juu ya kitanda kifupi sana, au kujifunika kwa blanketi inayokuwa ndogo sana!