Isaiah 28:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, alimaye ili kupanda hulima tu? Je, huendelea kulima na kusawazisha shamba lake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkulima anapolima ili apande, je, hulima siku zote? Je, huendelea kubomoa ardhi na kusawazisha udongo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mwenye kulima alima daima, ili apande? Afunua daima madongoa ya nchi yake, na kuyavunja?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, alimaye ili kupanda hulima tu? Je, huendelea kulima na kusawazisha shamba lake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mkulima alimapo ili apande, je, hulima siku zote? Je, huendelea kubomoa ardhi na kusawazisha udongo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mkulima alimapo ili apande, je, hulima siku zote? Je, huendelea kubomoa ardhi na kusawazisha udongo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mwenye kulima alima daima, ili apande? Afunua daima madongoa ya nchi yake, na kuyavunja?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, alimaye ili kupanda hulima tu? Je, huendelea kulima na kusawazisha shamba lake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inakuwaje? Mlima hulima siku zote, apate kumwaga mbegu? Au huponda siku zote madongo na kupalinganya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mwenye kulima alima daima, ili apande? Afunua daima madongoa ya nchi yake, na kuyavunja?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulimaji anayetaka kupanda mbegu anaendelea kulima tu siku zote? Anaendelea kutipua na kusawanisha shamba lake?