Isaiah 28:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La! Akisha lisawazisha shamba lake, hupanda mbegu za bizari na jira, akapanda ngano na shayiri katika safu, na mipakani mwa shamba mimea mingineyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kusawazisha shamba, je, hatapanyi mbegu za bizari na kutawanya jira? Je, hapandi ngano katika sehemu yake, shayiri katika eneo lake, na nafaka nyingine katika shamba lake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akiisha kuulainisha uso wa nchi yake, je! Hamwagi huko na huko kunde, na kutupa-tupa jira, na kuitia ngano safu safu, na shayiri mahali pake palipochaguliwa, na kusemethi karibu na mipaka yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La! Akisha lisawazisha shamba lake, hupanda mbegu za bizari na jira, akapanda ngano na shayiri katika safu, na mipakani mwa shamba mimea mingineyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiisha kusawazisha shamba, je, hasii mbegu za bizari na kutawanya jira? Je, hapandi ngano katika sehemu yake, shayiri katika eneo lake na nafaka nyingine katika shamba lake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akiisha kusawazisha shamba, je, hatapanyi mbegu za bizari na kutawanya jira? Je, hapandi ngano katika sehemu yake, shayiri katika eneo lake, na nafaka nyingine katika shamba lake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akiisha kuulainisha uso wa nchi yake, je! Hamwagi huku na huko kunde, na kutupatupa jira, na kuitia ngano safu safu, na shayiri mahali pake palipochaguliwa, na kusemethi karibu na mipaka yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La! Akisha lisawazisha shamba lake, hupanda mbegu za bizari na jira, akapanda ngano na shayiri katika safu, na mipakani mwa shamba mimea mingineyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au sivyo: alipokwisha kuusawasawisha mchanga wa juu, humwaga mbegu za maboga na za pilipili, nazo huzitupatupa, kisha hupanda nazo ngano nzuri mistarimistari, hata mtama na mahindi, nao uwele kandokando?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akiisha kuulainisha uso wa nchi yake, je! Hamwagi huko na huko kunde, na kutupa-tupa jira, na kuitia ngano safu safu, na shayiri mahali pake palipochaguliwa, na kusemethi karibu na mipaka yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapana! Akisha kusawanisha shamba lake, anapanda mbegu za kunde na mbegu za vikolezo, anapanda ngano na shayiri kwa mustari, na kwenye mipaka ya shamba mimea mingine.