Isaiah 28:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bizari haipurwi kwa mtarimbo wala jira kwa gari la ng'ombe! Ila bizari hupurwa kwa kijiti na jira kwa fimbo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iliki haipurwi kwa nyundo, wala gurudumu la gari halivingirishwi juu ya jira; iliki hupurwa kwa fimbo, na jira kwa ufito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana kunde zile hazipurwi kwa chombo kikali, wala gurudumu la gari halipitishwi huko na huko juu ya jira ile, bali kunde zile hupurwa kwa fimbo, na jira ile kwa ufito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bizari haipurwi kwa mtarimbo wala jira kwa gari la ng'ombe! Ila bizari hupurwa kwa kijiti na jira kwa fimbo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iliki haitwangwi kwa nyundo kubwa, wala gurudumu la gari halivingirishwi juu ya jira; iliki hutwangwa kwa mtwangio, na jira kwa fimbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iliki haipurwi kwa nyundo, wala gurudumu la gari halivingirishwi juu ya jira; iliki hupurwa kwa fimbo, na jira kwa ufito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana kunde zile hazipurwi kwa chombo kikali, wala gurudumu la gari halipitishwi huku na huko juu ya jira ile, bali kunde zile hupurwa kwa fimbo, na jira ile kwa ufito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bizari haipurwi kwa mtarimbo wala jira kwa gari la ng'ombe! Ila bizari hupurwa kwa kijiti na jira kwa fimbo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mbegu za maboga hazipurwi kwa magogo, mbegu za pilipili hazipitwi juu na magurudumu ya magari, ila mbegu za maboga zinafikichwa kwa vijiti, pilipili vilevile zinapigwapigwa kwa fimbo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana kunde zile hazipurwi kwa chombo kikali, wala gurudumu la gari halipitishwi huko na huko juu ya jira ile, bali kunde zile hupurwa kwa fimbo, na jira ile kwa ufito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kunde haipepetwi kwa chombo kikali wala mbegu za vikolezo kwa gari! Lakini kunde zinapepetwa kwa fimbo na mbegu za vikolezo kwa kijiti.