Isaiah 28:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Mipango yake Mungu ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya yote pia hutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo nayo yatoka kwa Bwana wa majeshi, mwenye shauri la ajabu, apitaye wote kwa hekima yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Mipango yake Mungu ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya yote pia hutoka kwa BWANA Mwenye Nguvu Zote, mshauri wa ajabu na anayepita wote kwa hekima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya yote pia hutoka kwa bwana Mwenye Nguvu Zote, mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo nayo yatoka kwa BWANA wa majeshi, mwenye shauri la ajabu, apitaye wote kwa hekima yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Mipango yake Mungu ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo nayo yalitoka kwake Bwana Mwenye vikosi, mizungu yake hustaajabisha, utambuzi wake ni mkuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayo nayo yatoka kwa BWANA wa majeshi, mwenye shauri la ajabu, apitaye wote kwa hekima yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujuzi huu nao unatoka kwa Yawe wa majeshi. Mipango yake ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa.