Isaiah 28:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majivuno na fahari ya walevi wa Efraimu yatakanyagwakanyagwa ardhini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, kitakanyagwa chini ya nyayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Taji ya kiburi ya walevi wa Efraimu itakanyagwa kwa miguu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majivuno na fahari ya walevi wa Efraimu yatakanyagwakanyagwa ardhini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, kitakanyagwa chini ya nyayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, kitakanyagwa chini ya nyayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Taji la kiburi la walevi wa Efraimu litakanyagwa kwa miguu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majivuno na fahari ya walevi wa Efraimu yatakanyagwakanyagwa ardhini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utakanyagwa na miguu, wewe uliye kilemba chenye majivuno ya Efuraimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Taji ya kiburi ya walevi wa Efraimu itakanyagwa kwa miguu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majivuno na utukufu wa walevi wa Efuraimu vitakanyagwakanyagwa chini,