Isaiah 28:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku ile Bwana wa majeshi atakuwa ni taji ya fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile, BWANA Mwenye Nguvu Zote atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile, bwana Mwenye Nguvu Zote atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji la fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile Bwana Mwenye vikosi atakuwa kilemba chenye urembo na pambo la kipajini lenye utukufu kwao waliosalia wa ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji ya fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile Yawe wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kitambaa kizuri kwa watu wake watakaobaki wazima.