Isaiah 28:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuwa roho ya haki kwa yeye anayeketi kwenye kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atakuwa roho ya hukumu kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao wageuzao nyuma vita langoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuwa roho ya haki kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuwa roho ya haki kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atakuwa roho ya hukumu ya haki kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao walindao langoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayekaa kitini penye uamuzi atampa roho yenye unyofu nao wapiga vita watakaowakimbiza adui malangoni atawapa nguvu za kushinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atakuwa roho ya hukumu kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao wageuzao nyuma vita langoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawaongoza waamuzi wa tribinali kuhukumu kwa haki, nao walinzi wa muji atawapa nguvu.