Isaiah 29:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa kitabuni na kutoka gizani vipofu wataanza kuona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, na katika utusitusi na giza macho ya kipofu yataona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho chuo, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa kitabuni na kutoka gizani vipofu wataanza kuona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu na katika utusitusi na giza macho ya kipofu yataona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, na katika utusitusi na giza macho ya kipofu yataona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho kitabu, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa kitabuni na kutoka gizani vipofu wataanza kuona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Siku ile viziwi watayasikia maneno yaliyoandikwa, nayo macho ya vipofu yaliyokuwa yenye giza jeusi yataona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho chuo, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa katika kitabu na kutoka katika giza, vipofu wataanza kuona.