Isaiah 29:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitapanga jeshi dhidi ya Yerusalemu, nami nitauzingira na kuushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitapiga kambi pande zote dhidi yako, nitakuzunguka kwa minara na kujenga ngome yakukuzingira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitapiga kimo juu yako pande zote, nitakuhusuru kwa ngome, nami nitajenga maboma yakuzunguke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitapanga jeshi dhidi ya Yerusalemu, nami nitauzingira na kuushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitapiga kambi pande zote dhidi yako, nitakuzunguka kwa minara na kupanga mazingiwa yangu dhidi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitapiga kambi pande zote dhidi yako, nitakuzunguka kwa minara na kupanga mazingirwa yangu dhidi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitapiga kimo juu yako pande zote, nitakuhusuru kwa ngome, nami nitajenga maboma yakuzunguke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitapanga jeshi dhidi ya Yerusalemu, nami nitauzingira na kuushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nitakapokupigia makambi, yakuzinge, kisha nitakujengea boma la kukusonga, nitaisimamisha hata minara, nipate kukushinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitapiga kimo juu yako pande zote, nitakuhusuru kwa ngome, nami nitajenga maboma yakuzunguke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitapanga kundi la waaskari juu ya Yerusalema, nami nitauzunguka na kuushambulia.