Isaiah 29:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kundi la maadui zako litakuwa kama vumbi laini, waliokutendea ukatili watakuwa kama makapi. Hayo yatafanyika ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini; makundi ya watu wakatili watakuwa kama makapi yanayopeperushwa. Naam, ghafula, mara moja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi membamba, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kundi la maadui zako litakuwa kama vumbi laini, waliokutendea ukatili watakuwa kama makapi. Hayo yatafanyika ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, kundi la wakatili watakuwa kama makapi yapeperushwayo. Naam, ghafula kwa mara moja,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, kundi la wakatili watakuwa kama makapi yapeperushwayo. Naam, ghafula, mara moja,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi laini, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kundi la maadui zako litakuwa kama vumbi laini, waliokutendea ukatili watakuwa kama makapi. Hayo yatafanyika ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mavumo ya wale wageni waliokujia yatakuwa kama mavumbi membamba, kweli mavumo ya hao wakorofi yatakuwa kama makapi yapeperushwayo; nayo yatakuwa kwa ghafula, wagunduliwe nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi membamba, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la waadui zako litakuwa kama mavumbi laini, waliokutendea ukali watakuwa kama maganda. Hayo yatafanyika kwa rafla.