Isaiah 3:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: Kwani watakula matunda ya matendo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: kwani watakula matunda ya matendo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: Kwani watakula matunda ya matendo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yawazeni, ya kuwa waongofu huona mema, kwani huyala mapato ya kazi zao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwaambie watu wa haki jinsi wanavyokuwa na heri, maana watakula matunda ya matendo yao.