Isaiah 3:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ole wao watu waovu! Mambo yatawaendea vibaya, kwani waliyotenda yatawapata wao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wake mtu mbaya; shari itakuwa kwake, kwa maana atapewa ijara ya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ole wao watu waovu! Mambo yatawaendea vibaya, kwani waliyotenda yatawapata wao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wake mtu mbaya; shari itakuwa kwake, kwa maana atapewa malipo ya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ole wao watu waovu! Mambo yatawaendea vibaya, kwani waliyotenda yatawapata wao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasiomcha Mungu huona mabaya, kwani mikono yao iliyoyafanya, watafanyiziwa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wake mtu mbaya; shari itakuwa kwake, kwa maana atapewa ijara ya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ole kwao watu waovu! Mambo yatawaendekea vibaya, maana yale waliyotenda yatawapata wao wenyewe.