Isaiah 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana asimama ili atete, asimama ili awahukumu watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA asimama ili atete, asimama ili awahukumu watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ameinuka kupigana, Bwana amesimama kuyapatiliza makabila ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA asimama ili atete, asimama ili awahukumu watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe yuko tayari kuanza mashitaki, anasimama kwa kuwahukumu watu wake.