Isaiah 3:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mimi Mwenyezi-Mungu nitawaadhibu; nitawanyoa nywele hao wanawake wa Siyoni, na kuwavua nguo za kufunika uchi wao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; Mwenyezi Mungu atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa hiyo, Bwana atawapiga binti za Sayuni kwa pele za utosini, na Bwana ataifunua aibu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mimi Mwenyezi-Mungu nitawaadhibu; nitawanyoa nywele hao wanawake wa Siyoni, na kuwavua nguo za kufunika uchi wao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; BWANA atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa hiyo, Bwana atawapiga binti za Sayuni kwa pele za utosini, na BWANA ataifunua aibu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mimi Mwenyezi-Mungu nitawaadhibu; nitawanyoa nywele hao wanawake wa Siyoni, na kuwavua nguo za kufunika uchi wao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atawauguza wanawali wa Sioni upele wa vichwani, yeye Bwana atawavua nazo nguo za kujifunika shungi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa hiyo, Bwana atawapiga binti za Sayuni kwa pele za utosini, na BWANA ataifunua aibu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mimi Yawe nitawaazibu; nitawanyoa nywele hao wanawake wa Sayuni, na kuwavua nguo za kufunika uchi wao.