Isaiah 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku yaja ambapo Mwenyezi-Mungu atawanyanganya wanawake wa Yerusalemu vitu vyote wanavyoringia: Njuga, kaya, mikufu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile Bwana atawanyang’anya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo Bwana atawaondolea uzuri wa njuga zao, na kaya zao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku yaja ambapo Mwenyezi-Mungu atawanyang'anya wanawake wa Yerusalemu vitu vyote wanavyoringia: njuga, kaya, mikufu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile Bwana atawanyang'anya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile Bwana atawanyang’anya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo BWANA atawaondolea uzuri wa njuga zao, na kaya zao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku yaja ambapo Mwenyezi-Mungu atawanyanganya wanawake wa Yerusalemu vitu vyote wanavyoringia: Njuga, kaya, mikufu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile Bwana atayaondoa mapambo kwao: vikuku na mifano ya jua vipajini nayo manyamwezi shingoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo BWANA atawaondolea uzuri wa njuga zao, na kaya zao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zinakuja ambapo Yawe atawanyanganya wanawake wa Yerusalema vitu vyote wanavyoringia: pete za miguu, vitana, mibano ya nywele,