Isaiah 3:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vitambaa vya kichwani, bangili, vibwebwe, vibweta vya marashi, hirizi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na dusumali, na mafurungu, na vitambi, na vibweta vya marashi, na matalasimu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vitambaa vya kichwani, bangili, vibwebwe, vibweta vya marashi, hirizi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vilemba, mikufu ya kwenye vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na dusumali, na mafurungu, na vitambi, na vibweta vya marashi, na matalasimu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vitambaa vya kichwani, bangili, vibwebwe, vibweta vya marashi, hirizi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hata miharuma vichwani na mikufu miguuni na mikanda viunoni na vichupa vya marashi vifuani na hirizi zote miilini po pote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na dusumali, na mafurungu, na vitambi, na vibweta vya marashi, na matalasimu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vitambaa vya kichwa, mikufu, mikaba iliyosokotwa, hirizi na mikufu ya kuleta bahati,