Isaiah 3:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaume wenu wataangamia kwa upanga, watu wenu wenye nguvu watakufa vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wako watauawa kwa upanga, nao mashujaa wako watauawa vitani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wako waume wataanguka kwa upanga, na mashujaa wako vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaume wenu wataangamia kwa upanga, watu wenu wenye nguvu watakufa vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume wako watauawa kwa upanga, mashujaa wako watauawa vitani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume wako watauawa kwa upanga, nao mashujaa wako watauawa vitani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wako wanaume wataanguka kwa upanga, na mashujaa wako vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaume wenu wataangamia kwa upanga, watu wenu wenye nguvu watakufa vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waume wenu watauana kwa panga, vijana wenu wenye nguvu watamalizika vitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wako waume wataanguka kwa upanga, na mashujaa wako vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaume wenu wataangamia kwa upanga, watu wenu wenye nguvu watakufa katika vita.