Isaiah 3:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malango ya mji yatalia na kuomboleza; nao mji utakuwa kama mwanamke aliyepokonywa kila kitu, ameketi mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, ataketi mavumbini akiwa fukara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na malango yake yatalia na kuomboleza, naye atakuwa ukiwa, atakaa chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malango ya mji yatalia na kuomboleza; nao mji utakuwa kama mwanamke aliyepokonywa kila kitu, ameketi mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, akiwa maskini, ataketi mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, ataketi mavumbini akiwa fukara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na malango yake yatalia na kuomboleza, naye atakuwa ukiwa, atakaa chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malango ya mji yatalia na kuomboleza; nao mji utakuwa kama mwanamke aliyepokonywa kila kitu, ameketi mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo malango yake yatapiga kite kwa kusikitika, nao wenyewe watakaa uvumbini kwa kuwa peke yao tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na malango yake yatalia na kuomboleza, naye atakuwa ukiwa, atakaa chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watu watalia na kuomboleza kwenye milango ya muji; nao wataikaa ndani ya mavumbi katika ukiwa.