Isaiah 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yerusalemu wamejikwaa, watu wa Yuda wameanguka, kwa kuwa wanampinga Mwenyezi-Mungu kwa maneno na matendo, wakipuuza utukufu wake miongoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yerusalemu inapepesuka, Yuda inaanguka; maneno yao na matendo yao ni kinyume na Mwenyezi Mungu, wakiudharau uwepo wake uliotukuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Yerusalemu umebomolewa na Yuda wameanguka, kwa sababu ulimi wao na matendo yao ni kinyume cha Bwana, hata wayachukize macho ya utukufu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yerusalemu wamejikwaa, watu wa Yuda wameanguka, kwa kuwa wanampinga Mwenyezi-Mungu kwa maneno na matendo, wakipuuza utukufu wake miongoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yerusalemu inapepesuka, Yuda inaanguka; maneno yao na matendo yao ni kinyume na BWANA, wakiudharau uwepo wake uliotukuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yerusalemu inapepesuka, Yuda inaanguka; maneno yao na matendo yao ni kinyume na bwana, wakiudharau uwepo wake uliotukuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Yerusalemu umebomolewa na Yuda wameanguka, kwa sababu ulimi wao na matendo yao ni kinyume cha BWANA, hata wakayachukiza macho ya utukufu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yerusalemu wamejikwaa, watu wa Yuda wameanguka, kwa kuwa wanampinga Mwenyezi-Mungu kwa maneno na matendo, wakipuuza utukufu wake miongoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yerusalemu utakuwa umejikwaa, nayo Yuda itakuwa imeanguka, kwa kuwa ndimi zao na kazi zao zilimpinga Bwana na kuyachafua macho yake yenye utukufu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Yerusalemu umebomolewa na Yuda wameanguka, kwa sababu ulimi wao na matendo yao ni kinyume cha BWANA, hata wayachukize macho ya utukufu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yerusalema wamejikwaa, watu wa Yuda wameanguka, kwa sababu wanamupinga Yawe kwa maneno na matendo, wakizarau utukufu wake kati yao.