Isaiah 30:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafahali na punda wenu wa kulimia watapata malisho yaliyochambuliwa vizuri na kutiwa chumvi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maksai na punda walimao watakula majani makavu na vyakula vilivyotengenezwa, vinavyotandazwa kwa uma na sepeto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ng'ombe pia na wana-punda wailimao nchi watakula chakula kilichokolea, kilichopepetwa kwa ungo na kwa pepeo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafahali na punda wenu wa kulimia watapata malisho yaliyochambuliwa vizuri na kutiwa chumvi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maksai na punda walimao watakula majani makavu na vyakula vilivyotengenezwa, vinavyotandazwa kwa uma na sepeto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maksai na punda walimao watakula majani makavu na vyakula vilivyotengenezwa, vinavyotandazwa kwa uma na sepeto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ng'ombe pia na wanapunda wailimao nchi watakula chakula kilichokolea, kilichopepetwa kwa ungo na kwa pepeo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafahali na punda wenu wa kulimia watapata malisho yaliyochambuliwa vizuri na kutiwa chumvi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ng'ombe na punda wako wanaolima shamba watakula muhindi ulioungwa na majani yenye chumvi, nao utakuwa umepepetwa kwa ungo na kipepeto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ng’ombe pia na wana-punda wailimao nchi watakula chakula kilichokolea, kilichopepetwa kwa ungo na kwa pepeo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe dume na punda wenu wa kulima watapata malisho yaliyochaguliwa vizuri na kutiwa chumvi.