Isaiah 30:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waashuru watajaa hofu watakaposikia sauti ya Mwenyezi-Mungu wakati atakapowachapa na fimbo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mwenyezi Mungu itaivunjavunja Ashuru, kwa fimbo yake ya utawala atawapiga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa sauti ya Bwana, Mwashuri atavunjika-vunjika, yeye apigaye kwa bakora.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waashuru watajaa hofu watakaposikia sauti ya Mwenyezi-Mungu wakati atakapowachapa na fimbo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya BWANA itaivunjavunja Ashuru, kwa fimbo yake ya utawala atawapiga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya bwana itaivunjavunja Ashuru, kwa fimbo yake ya utawala atawapiga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa sauti ya BWANA, Mwashuri atavunjikavunjika, yeye apigaye kwa bakora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waashuru watajaa hofu watakaposikia sauti ya Mwenyezi-Mungu wakati atakapowachapa na fimbo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Waasuri watastushwa na sauti yake Bwana, atakapowapiga kwa fimbo yake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa sauti ya BWANA, Mwashuri atavunjika-vunjika, yeye apigaye kwa bakora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waasuria watajaa hofu watakaposikia sauti ya Yawe, wakati atakapowapiga na fimbo yake.