Isaiah 30:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ingawa maofisa wao wamefika Soani, na wajumbe wao mpaka Hanesi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa wana maafisa katika Soani na wajumbe wamewasili katika Hanesi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wakuu wake wako Soani, na wajumbe wake wamefika Hanesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ingawa maofisa wao wamefika Soani, na wajumbe wao mpaka Hanesi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa wana maafisa katika Soani na wajumbe wamewasili katika Hanesi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa wana maafisa katika Soani na wajumbe wamewasili katika Hanesi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wakuu wake wako Soani, na wajumbe wake wamefika Hanesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ingawa maofisa wao wamefika Soani, na wajumbe wao mpaka Hanesi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo wakuu wake waje Soani, ijapo wajumbe wake wafike mpaka Hanesi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wakuu wake wako Soani, na wajumbe wake wamefika Hanesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana ingawa wakubwa wao wamefika Soani, na wajumbe wao mpaka katika muji wa Hamesi,