Isaiah 30:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wote wataaibishwa na hao wasioweza kuwasaidia, watu ambao hawawezi kuwapa msaada au faida, ila tu kuwapa aibu na fedheha.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kila mmoja ataaibishwa kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, ambalo haliwaletei msaada wala faida, bali aibu tu na fedheha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote watawaonea haya watu wasioweza kuwafaidia, wasio na msaada wala faida, bali ni aibu na sababu ya kushutumiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wote wataaibishwa na hao wasioweza kuwasaidia, watu ambao hawawezi kuwapa msaada au faida, ila tu kuwapa aibu na fedheha.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kila mmoja ataaibishwa kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, ambalo haliwaletei msaada wala faida, bali aibu tu na fedheha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kila mmoja ataaibishwa kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, ambalo haliwaletei msaada wala faida, bali aibu tu na fedheha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote watawaonea haya watu wasioweza kuwafaidia, wasio na msaada wala faida, bali ni aibu na sababu ya kushutumiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wote wataaibishwa na hao wasioweza kuwasaidia, watu ambao hawawezi kuwapa msaada au faida, ila tu kuwapa aibu na fedheha.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wao wote wataona soni na watu wasiowafalia kitu, kwa kuwa hawawezi kuwasaidia au kuwapatia cho chote kuwafaliacho, kwani wanawatia soni tu, wengine wawabeze na kuwatukana. Tamko zito lililotoka kwa ajili ya nyama wa kusini:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote watawaonea haya watu wasioweza kuwafaidia, wasio na msaada wala faida, bali ni aibu na sababu ya kushutumiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wote watapata haya. Wamisri hawawezi kuwasaidia ninyi, hawawezi kuwapa musaada au faida, lakini watawapatisha haya tu na kuwafezehesha.