Isaiah 30:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hawa ni waasi, watoto wasioaminika; watu wasiopenda kusikia mafunzo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ni watu waasi, watoto wadanganyifu, watoto ambao hawataki kusikiliza mafundisho ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hawa ni waasi, watoto wasioaminika; watu wasiopenda kusikia mafunzo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ni watu waasi, watoto wadanganyifu, watoto ambao hawataki kusikiliza mafundisho ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ni watu waasi, watoto wadanganyifu, watoto ambao hawataki kusikiliza mafundisho ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hawa ni waasi, watoto wasioaminika; watu wasiopenda kusikia mafunzo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndio watu wabishi na wana wenye uwongo, kweli ndio wana wasiotaka kuyasikia Maonyo ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hawa ni waasi, watoto wasioaminiwa; watu wasiopenda kusikia mafundisho ya Yawe.