Isaiah 31:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamisri ni binadamu tu wala si Mungu; farasi wao nao ni wanyama tu, si roho. Mwenyezi-Mungu akiunyosha mkono wake, taifa linalotoa msaada litajikwaa, na lile linalosaidiwa litaanguka; yote mawili yataangamia pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, farasi wao ni nyama, wala si roho. Mwenyezi Mungu atakaponyoosha Mkono wake, yeye anayesaidia atajikwaa, naye anayesaidiwa ataanguka, wote wawili wataangamia pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Wamisri ni wanadamu wala si Mungu, na farasi zao ni nyama wala si roho; na Bwana atakaponyosha mkono wake, yeye asaidiaye atajikwaa, na yeye asaidiwaye ataanguka, nao wote pamoja watakoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamisri ni binadamu tu wala si Mungu; farasi wao nao ni wanyama tu, si roho. Mwenyezi-Mungu akiunyosha mkono wake, taifa linalotoa msaada litajikwaa, na lile linalosaidiwa litaanguka; yote mawili yataangamia pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Wamisri ni wanadamu wala si Mungu, farasi wao ni nyama wala si roho. Wakati BWANA atakaponyosha Mkono wake, yeye anayesaidia atajikwaa, yeye anayesaidiwa ataanguka, wote wawili wataangamia pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, farasi wao ni nyama, wala si roho. Wakati bwana atakaponyoosha Mkono wake, yeye anayesaidia atajikwaa, naye anayesaidiwa ataanguka, wote wawili wataangamia pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Wamisri ni wanadamu wala si Mungu, na farasi wao ni nyama wala si roho; na BWANA atakaponyosha mkono wake, yeye asaidiaye atajikwaa, na yeye asaidiwaye ataanguka, nao wataangamia wote pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamisri ni binadamu tu wala si Mungu; farasi wao nao ni wanyama tu, si roho. Mwenyezi-Mungu akiunyosha mkono wake, taifa linalotoa msaada litajikwaa, na lile linalosaidiwa litaanguka; yote mawili yataangamia pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misri ndio watu tu, sio Mungu; farasi wao ndio nyama, sio roho. Bwana akiukunjua mkono wake, ndipo, huyo mwenye kusaidia anapojikwaa, ndipo, naye mwenye kusaidiwa anapoanguka, wakaanguka wote pamoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Wamisri ni wanadamu wala si Mungu, na farasi zao ni nyama wala si roho; na BWANA atakaponyosha mkono wake, yeye asaidiaye atajikwaa, na yeye asaidiwaye ataanguka, nao wote pamoja watakoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamisri ni wanadamu tu wala si miungu; farasi wao nao ni nyama tu, si roho. Yawe akiunyoosha mukono wake, taifa linalotoa musaada litajikwaa, na lile linalosaidiwa litaanguka; yote mawili yataangamia pamoja.