Isaiah 31:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ndege arukavyo juu ya viota vyake, ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyoulinda Yerusalemu, ataulinda na kuukomboa, atauhifadhi na kuuokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ndege warukao, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ataukinga Yerusalemu; ataukinga na kuuokoa, atapita juu yake na kuufanya salama.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ndege warukao, Bwana wa majeshi ataulinda Yerusalemu; ataulinda na kuuokoa, atapita juu yake na kuuhifadhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ndege arukavyo juu ya viota vyake, ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyoulinda Yerusalemu, ataulinda na kuukomboa, atauhifadhi na kuuokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ndege warukao, BWANA Mwenye Nguvu Zote ataukinga Yerusalemu; ataukinga na kuuokoa, atapita juu yake na kuufanya salama.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ndege warukao, bwana Mwenye Nguvu Zote ataukinga Yerusalemu; ataukinga na kuuokoa, atapita juu yake na kuufanya salama.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ndege warukao, BWANA wa majeshi ataulinda Yerusalemu; ataulinda na kuuokoa, atapita juu yake na kuuhifadhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ndege arukavyo juu ya viota vyake, ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyoulinda Yerusalemu, ataulinda na kuukomboa, atauhifadhi na kuuokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mwenye vikosi ataukingia Yerusalemu kama ndege warukao, kwa kukinga atawaponya, kwa kuwapita atawakomboa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ndege warukao, BWANA wa majeshi ataulinda Yerusalemu; ataulinda na kuuokoa, atapita juu yake na kuuhifadhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile ndege anavyonyoosha mabawa juu ya vitoto vyake, ni vile Yawe atakavyolinda Yerusalema. Ataulinda na kuukomboa, ataukinga na kuuokoa.