Isaiah 31:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme wao atatoroka kwa hofu, na maofisa wao wataiacha bendera yao kwa woga. Hayo ameyatamka Mwenyezi-Mungu ambaye moto wake umo mjini Siyoni, naam, tanuri lake limo mjini Yerusalemu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ngome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu; kwa kuona bendera ya vita, majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,” asema Mwenyezi Mungu, ambaye moto wake uko Sayuni, nalo tanuru lake liko Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwamba wake utatoweka kwa sababu ya hofu, nao wakuu wake wataionea bendera hofu kuu, asema Bwana, ambaye moto wake u katika Sayuni, na tanuru yake katika Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme wao atatoroka kwa hofu, na maofisa wao wataiacha bendera yao kwa woga. Hayo ameyatamka Mwenyezi-Mungu ambaye moto wake umo mjini Siyoni, naam, tanuri lake limo mjini Yerusalemu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ngome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu, kwa kuona bendera ya vita, majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,” asema BWANA, ambaye moto wake uko Sayuni, nayo tanuru yake iko Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ngome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu; kwa kuona bendera ya vita, majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,” asema bwana, ambaye moto wake uko Sayuni, nayo tanuru yake iko Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwamba wake utatoweka kwa sababu ya hofu, nao wakuu wake wataionea bendera hofu kuu, asema BWANA, ambaye moto wake u katika Sayuni, na tanuri yake katika Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme wao atatoroka kwa hofu, na maofisa wao wataiacha bendera yao kwa woga. Hayo ameyatamka Mwenyezi-Mungu ambaye moto wake umo mjini Siyoni, naam, tanuri lake limo mjini Yerusalemu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye aliyekuwa mwamba wao atakimbia kwa woga, nao walio wakuu wao watazimia kwa kuona bendera. Ndivyo, asemavyo Bwana alioko Sioni na moto wake alioko na jiko lake huko Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwamba wake utatoweka kwa sababu ya hofu, nao wakuu wake wataionea bendera hofu kuu, asema BWANA, ambaye moto wake u katika Sayuni, na tanuru yake katika Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme wao atatoroka kwa ajili ya hofu, na wakubwa wao wataiacha bendera yao kwa ajili ya woga. –Ni ujumbe wa Yawe ambaye moto wake uko katika Sayuni, ambaye furu lake liko katika Yerusalema.