Isaiah 32:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mwaka mmoja hivi mtatetemeka nyinyi mliotosheka; maana hamtapata mavuno yoyote, na mavuno ya zabibu yatatoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Muda zaidi kidogo ya mwaka mmoja, ninyi mnaojisikia salama mtatetemeka, mavuno ya zabibu yatakoma, na mavuno ya matunda hayatakuwepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mtataabishwa siku kadha wa kadha zaidi ya mwaka, enyi wanawake mliojikinai; kwa sababu mavuno ya mizabibu yatakoma, wakati wa kuvuna vitu vya mashamba hautakuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mwaka mmoja hivi mtatetemeka nyinyi mliotosheka; maana hamtapata mavuno yoyote, na mavuno ya zabibu yatatoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa zaidi kidogo ya mwaka ninyi mnaojisikia salama mtatetemeka, mavuno ya zabibu yatakoma na mavuno ya matunda hayatakuwepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Muda zaidi kidogo ya mwaka mmoja, ninyi mnaojisikia salama mtatetemeka, mavuno ya zabibu yatakoma na mavuno ya matunda hayatakuwepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mtataabishwa kwa zaidi kidogo ya mwaka, enyi wanawake mliojikinai; kwa sababu mavuno ya mizabibu yatakoma, wakati wa kuvuna vitu vya mashamba hautakuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mwaka mmoja hivi mtatetemeka nyinyi mliotosheka; maana hamtapata mavuno yoyote, na mavuno ya zabibu yatatoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku za nyuma, mwaka utakapopita, mtatetemeka nyinyi mnaojikalia tu, kwani mavuno ya zabibu yatakuwa yametoweka, nayo mavuno ya matunda hayatakuwa tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mtataabishwa siku kadha wa kadha zaidi ya mwaka, enyi wanawake mliojikinai; kwa sababu mavuno ya mizabibu yatakoma, wakati wa kuvuna vitu vya mashamba hautakuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka mumoja hivi mutatetemeka ninyi muliotosheka; maana hamutapata mavuno yoyote, na mavuno ya mizabibu yatatoweka.